LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 13, 2020

JPM AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA UBUNGO NA KIBAMBA MVUANI UWANJA WA BARAFU MBURAHATI, DAR, AWAAHIDI NEEMA KIBAO

Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo
Jumanne Oktoba 13, 2020
Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Barafu wa Mburahati tayari kuhutubia maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020
Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea ubunge wa Ubungo Profesa Kitila Mkumbo na IssaMtemvu wa Kibamba mbele ya maelfu ya wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020
Mgombea UIrais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea udiwani mbele ya maelfu ya wananchi
wa majimbo ya Kibamba na Ubungo Uwanja wa Barafu wa Mburahati katika mkutano wake wa tatu wa kampeni mkoani Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages