LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 11, 2020

MAMA SAMIA ALIPOTUA KWELA, SUMBAWANGA VIJIJINI KUOMBA KURA ZA JPM, WABUNGE NA MADIWANI WA CCM, LEO

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa amewasili katika kijiji cha Kalakala Kwela Sumbawanga Vijijini kwa  Ndege aina ya Helkopta 5Y-HSN ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Muze Jimbo la Kwela Wilaya ya Sumbawanga Vijijini Mkoani Rukwa leo Oktoba 11,2020

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kwela alipowasili katika kijiji cha Kalakala Muze Kwela Sumbawanga Vijijini Mkoani Rukwa kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi leo Oktoba 11,2020. 
👆Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wandanchi wa Jimbo la Kwela katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkamanye Wilaya ya Sumbawanga Vijijini Mkoani Rukwa leo Oktoba 11,2020.👇

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kitabu cha Ilani ya Utekelezaji wa Uchaguzi ya CCM 2020/25 kwa Mbunge mteule wa Jimbo la  Kwale Sumbawanga Vijijini  Mhe. Deus Sangu kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM, katika mkutanowa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 11,2020 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkamanye Wilaya ya Sumbawanga Vijijini Mkoani Rukwa. (Na Mpigapicha Maalum)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages