LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 14, 2020

MAMA SAMIA AITEKA CHUNYA MBEYA AKIOMBA KURA KWA CCM, LEO

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Chunya wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihutubia mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Shule ya Msingi Makongorosi Chunya Mkoani Mbeya  leo Oktoba 14,2020

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mkoa wa Songwe Baada ya kukamilisha ziara yake ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkoa wa Songwe na kuanza Ziara ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkoa wa Mbeya leo Oktoba 14,2020.  
 
No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages