LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 14, 2020

TANZIA: DAKTARI BINGWA WA MIFUPA MOI AFARIKI DUNIA


                                                                             1961-2020

Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Mifupa MOI Dkt. Respicious Boniface anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa MOI Dkt Paul Gaspar Marealle (Daktari bingwa wa Mifupa) kilichotokea jana Octoba 13, 2020  katika Taasisi hiyo. Dkt Marealle atakumbukwa kwa umahiri wake na uchapaji kazi na kuwahudumia watanzania. Taarifa zaidi zitatolewa na Ofisi ya Utawala MOI pamoja na familia

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages