LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 19, 2020

MAMA SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA SEKTA BINAFSI KUMPONGEZA JPM KWA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KATIKA SEKTA HIYO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia  mkutano wa Sekta Binafsi kwa ajili ya kumpongeza  Rais  wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dkt. John  Magufuli  kwa kazi nzuri na mafanikio yaliyopatikana katika kipindi chake cha miaka mitano ya Uongozi wake kuanzia 2015/2020, katika  ukumbi wa kimataifa wa mikutano  wa Julius Nyerere Jjijini Dar es salaam leo Octoba 18,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages