Msimamizi wa uchaguzi katika Jimbo la Monduli amemtangaza Fredrick Lowassa wa CCM kuwa mshindi wa Jimbo hilo kwa kupata kura 72,502 sawa na asilimia 93.23% akifuatiwa na Cessilia Ndossi wa CHADEMA aliyepata kura 4,637 sawa na asilimia 5.96%, Chogga wa ACT 485 sawa asilimia 0.62% na Kijuu NRA 145 sawa asilimia 0.19%.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇