LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 29, 2020

MSIGWA ANG'OLEWA NA JESCA MSAMBATAVANGU UBUNGE IRINGA MJINI

 


Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini amemtangaza Jesca Msambatavangu wa CCM kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 36,034 dhidi ya mpinzani wake Peter Msigwa Chadema aliyepata kura 19,331 .

Mchungaji Peter Msigwa alikuwa akilitetea Jimbo hilo la Iringa aliloliongoza kwa miaka 10.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages