Wananchi wa Zanzibar
waliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika viwanja vya
Mnazi mmoja Kisiwani Zanzibar leo tarehe 03 Oktoba 2020
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi
CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa
Zanzibar katika mkutano wa Kampeni za Urais kwa CCM uliofanyika katika uwanja
wa Mnazi mmoja kisiwani Zanzibar leo tarehe 03 Oktoba 2020.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇