Shirika la Ndege la Uganda limerudisha rasmi safari zake za Ndege kuja Tanzania ikiwa ni takribani miezi 7 tangu zilipositishwa kutokana na mlipuko wa Corona.
Kaimu Meneja wa Jengo la Abiria la Uwanja wa Ndege Terminal 3, Barton Komba amesema uwepo wa Shirika la Ndege la Uganda unaongeza idadi ya Mashirika ya Ndege yanayokuja Tanzania kufika 12.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇