LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 3, 2020

ZUNGU AAHIDI KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA BIASHARA, KUPUNGUZA KODI NHC

 



Mgombea Ubunge Jimbo la Ilala, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Azzan Zungu akiwa na mgombea udiwani wa Kata ya Mchafukoge jijini Dar es Salaam, Mariamu Lulinda wakiomba kura wakati wa kampeni zilizofanyika katika Kata hiyo jana. PICHA NA ASHRACK MIRAJI.

Zungu alisema akichaguliwa atahakikisha analitafutia ufumbuzi wa kupunguza kodi kwa wananchi wanaoishi nyumba za Shirika la Nyumba  la Taifa (NHC) pamoja na kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara wa eneo hilo kazi ambayo ataifanya kwa ushirikiano na diwani na wenyeviti wote wa wilaya ya Ilala.  hayo waweze kuwapa kula 


Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mchafukoge,  Rajeshi Mistry akiwa amesimama na wagombea wakiomba dua wakati ufunguzi wa kampeni hiyo  ambapo ameahidi kufanya kazi nao bega kwa bega katika kuleta maendeleo kwa wakazi wa eneo hilo. 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages