Wananchi wa Jimbo la Kawe wakiwa wamefurika katika Uwanja wa mkutano wa Tanganyika Packers kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Oktoba 2020.
Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe katika mkutano wa Kampeni za CCM
zilizofanyika katika uwanja wa Tanganyika Packers uliopo Kawe, Kinondoni mkoani
Dar es Salaam leo tarehe 14 Oktoba 2020.
Wananchi wa Jimbo la Kawe wakiwa wamefurika katika Uwanja wa mkutano wa Tanganyika Packers kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Tanganyika Packers kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Jimbo la Kawe leo tarehe 14 Oktoba 2020.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇