LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 14, 2020

Video & Picha: MWENYEKITI UVCCM JAMES AMPIGIA KAMPENI YA NGUVU PROF. MWAMFUPE MADUKANI, DODOMA

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kheri James (kulia) akiwa na Mgombea Udiwani wa Kata ya Madukani kupitia CCM, Profesa Davis Mwamfupe mara baada ya kumnadi kwa wananchi katika kampeni za CCM zilizofanyika katika Kata hiyo, jijini Dodoma Oktoba 13, 2020.
Add caption

James akiwaombea kura kwa wananchi wagombea wa CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Madukani jijini Dodoma.

James akikumbatiana kwa furaha na Mavunde baada ya kumaliza kuwanadi

Mgombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde (kulia), akimnadi kwa wananchi, Mgombea Udiwani wa Kata ya Madukani, Pro. Mwamfupe.


Sehemu ya wananchi wakiwa katika mkutano huo wa kampeni katika Kata ya Madukani.



Wafuasi wa CCM wakishangilia baada ya kufurahishwa na kampeni za kueleweka za Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri  James akiwaombea kura wagombea wa CCM kwa kuelezea wasifu wao na utendaji kazi wao mzuri.


 Kwa uhondo zaidi sikiliza kwa makini alichokizungumza Kheri James katika kampeni hizo kupitia Clip hii ya Video hapa chini.....

 

IMEANDALIWA NA:
 RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages