LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 30, 2020

DAVID SILINDE ASHINDA UBUNGE TUNDUMA KWA TIKETI YA CCM


Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Tunduma Mkoani Songwe, amemtangaza David Silinde wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge jimbo hilo kwa kupata kura 43,276, akifuatiwa na Frank Mwakajoka wa CHADEMA aliyepata kura 12,433
.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages