Msamamizi wa Uchaguzi jimbo la Dodoma Mjini Wakili Msekeni Mkufya akikabidhi cheti cha ushindi wa Jimbo hilo Antony Mavunde wa Chama cha Mapinduzi kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 86,656 sawa na asilimia 86.44 akifuatiwa na Aisha Madoga wa CHADEMA mwenye kura 13,589 sawa na asilimia 13.50 .
Mbunge Mteule wa Jimbo la Dodoma Mjini Antony Mavunde wa Chama cha Mapinduzi akitoa neno la shukrani kwa wanadodoma baada ya kumuwezesha kuibuka mshindi kwa kupata kura 86,656 akifuatiwa na Aisha Madoga wa CHADEMA mwenye kura 13,589.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇