LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 25, 2020

CCM ZANZIBAR YAFUNGA MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR KWA KISHINDO


MARAIS Wastaaf wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi na Jakaya Mrisho Kikwete wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa ufungaji wa Kampeni ya Mgombea Urais wa CCM Mhe. Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar

 

RAIS Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpa haii Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, wakati wa mkutanon wa ufungaji wa kampeni ya CCM uliofanyika katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar leo

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, mkutano wa kampeni  wakati Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia  katika viwanja vya Demokrasia Kibanda Maiti Jijini Zanzibar
na kuomba kura  kwa Wananchi wa Zanzibar na (kulia kwa Rais Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Mabodi.

RAIS Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Karume akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi alipowasili katika viwanja vya Demokrasia kuhudhuria mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM leo 25/10/2020.(Picha na Ikulu)



 Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akihutubia Wananchi na Wanachama cha Mapinduzi katika mkutano wa Kufunga kampeni za CCM Uliofanyika leo Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Zanzibar

Viongozi na Wananchi akiwa katika Mkutano  wa Kufunga kampeni za CCM Uliofanyika leo Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Zanzibar.

Vijana wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wakinyanyua mikono juu kuunga mkono hotuba iliyotolwa na Mgombea Urais wa zanzibar  Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi(hayupo pichani) wakati wa  Mkutano  wa Kufunga kampeni za CCM Uliofanyika leo Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Zanzibar

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akiteta na Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadala (Mabodi)  katika mkutano wa Kufunga kampeni za CCM Uliofanyika leo Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Zanzibar.

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (kulia) akiteta na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Kufunga kampeni za CCM Uliofanyika leo Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Zanzibar.

Rais Mstaafu wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Nd.Hassan Khatib Hassan mara alipowasili katka  Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Zanzibar,alipohudhuria  Mkutano wa Kufunga kampeni za CCM zilizofanyika leo,

Rais Mstaafu wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi  alipowasili katka  Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Zanzibar,alipohudhuria  Mkutano wa Kufunga kampeni za CCM zilizofanyika leo,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Talib Ali Talib  alipowasili katka  Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Zanzibar,alipohudhuria  katika  Mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika leo kabla ya kufunga rasmi kampeni hizo

Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiimba wimbo wa Taifa pamoja kutoa ujumbe wao katika bango “Tuienzi Amani tulionayo kwani bila ya kuienzi tutapata tabu Sana na ni Tuzo Yetu” katika  Mkutano wa Kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Zanzibar,

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages