Mgombea Ubunge Viti Maalum mkoa wa Owani Zainab Vuli akiomba kura kwa wagombea wa CCM, wilayani Kisarawe.
Na Scolastica Msewa, Kisarawe.
Mgombea Ubunge Viti maalum mkoa wa Pwani amesema Mgombea Urais Dr. John Pombe Magufuli amefanya mengi kwa Taifa la Tanzania Wanawake wajitokeze kwa Wingi ili kumpa kura za Ushindi pamoja na Wabunge na Madiwani wa CCM ili aweze kutekeleza Ilani ya CCM.
Amesema kwa kuwa Wanawake wana ushawishi mkubwa wajitokeze kwa wingi ili kuhakikisha mnaomba kura kwa kila Mtanzania maana Dr. Magufuli habaguwi kwenye kuleta Maendeleo Nchini.
Ziara ya Kuomba kura za Rais, Mbunge na Diwani kata ya Marumbo huko Kisarawe mkoani Pwani
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇