LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 16, 2020

TANZIA: ACP JONATHAN SHANA AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO, JIJINI DAR ES SALAAM

 Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polisi Jonathan Shana amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu


Kamanda Shana aliwahi kuwa RCO Mikoa Mbalimbali Nchini ikiwemo Simiyu, RPC-Mikoa ya Pwani, Mwanza na Arusha ACP Jonathan Shana amefariki akiwa Afisa Mnadhimu Namba Moja katika Chuo cha Polisi (CCP) Moshi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages