LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 16, 2020

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM DK. HUSSEIN MWINYI KUUNGURUMA PEMBA KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM VISIWANI HUMO, LEO.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinazindua kampeni zake za Urais wa Zanzibara Visiwani Pemba kwa kufanya mkutano mkubwa na wa kihistoria katika Viwanja vya Gombani ya Kale ambapo Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi atanadi sera na kuomba kura kwa wananchi.

Mkutano huo ambao utaambatana na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wa hapa nchini umepangwa kuanza saa mbili asubuhi hadi saa 12 jioni.

Chama Cha Mapinduzi kimwataka wana CCM, mashabiki wake na wananchi kwa jumla kujitokeza kwa wingi ili kujipa fursa ya kumsikiliza Dk. Mwinyi ana kwa ana badala ya kusubiri kusimuliwa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages