LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 16, 2020

Video: DK KABATI ASEMA LISSU, MSIGWA 'WAMEKWISHA' INATAKIWA WAMUUNGE MKONO DK MAGUFULI

PAMOJA na mambo mengine, Mbunge Mteule wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa kupitia CCM, Dk. Ritta Kabati amewataka Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu na Mgombea Ubunge wa chama hicho katika Jimbo la Iringa Mjini, Peter Msigwa 'wamekwisha' wamuunge mkono Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli kwani hana mpinzani katika kinyang'anyiro hicho.

 Amesema wasiogope kufanya hivyo, kwani ni dhahiri Dk. Magufuli katika uchaguzi huu atashinda kwa zaidi ya asilimia 90, hivyo hawana jinsi bali ni kinachotakiwa ni kufanya mabadiliko kwa kumuunga mgombea urais wa CCM, kama walivyofanya viongozi wa UDP,John Cheyo na Augustino Mrema TLP.

 Ili nisiharibu uhondo endelea kumsikiliza Dk. Kabati ....

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages