LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 16, 2020

MPENI DK MAGUFULI MIAKA MINGINE MITANO AFANYE MAAJABU YA MAENDELEO-OKASH

Mbunge Mteule wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma kupitia CCM, Halima Okash akiwa amepiga magoti akimuombea kwa wananchi kura Mgombea  Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli wakati wa uzinduzi wa kampeni katika Jimbo la Kondoa Mjini.

Aliomba wananchi kumpigia kura Dk. Magufuli hasa kutokana na Serikali ya Awamu ya Tano anayoiongoza kuwa na uzalendo wa kweli kwa kuifanyia Tanzania mambo makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka mitano, hivyo akipewa miaka mingine mitano atafanya maajabu.

Okash aliwaombea pia kura wagombea ubunge wa CCM na madiwani wote wa chama hicho ili CCM ipate ushindi wa kishindo.


Okash akimwaga sera za CCM na kuwaombea kura wagombea wa CCM



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages