LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 7, 2020

SUBIRA MGALU AGAWA MABANGO YA MGOMBEA URAIS WA CCM DK. MAGUFULI ILI KUSAMBAZWA KATA 26 KATIKA MAJIMBO YA CHALINZE NA BAGAMOYO

Mgombea Ubunge viti maalum Mkoa wa Pwani na Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati Subira Mgalu akizungumza na Wajumbe Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi wilaya na kuwakabidhi vipeperushi na mabango ya kumnadi Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Magufuli, mabango ambayo yalisambazwa katika kata 26 za majimbo ya Chalinze na Bagamoyo. (Picha na Scolastica Msewa)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages