LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 7, 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM DK. MAGUFULI AFUNGA KAZI MWANZA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI, LEO

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Magufuli akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo (Picha na Ikulu)
Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakimsikiliza Dk. Magufuli katika mkutano huo wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages