LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 20, 2020

MVUTO WA MGOMBEA URAIS WA CCM DK. MAGUFULI KWA WANANCHI WATIA FORA URAMBO, LEO

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akisalimia na kuomba kura maelfu ya wananchi waliofika katika Mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika mji mdogo wa Urambo mkoani Tabora, leo.
Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo
Maelfu kwa maelfu wakimsikiliza Dk Magufuli kwenye mkutano hupo wa Kampeni leo
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages