Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Hussein Ali Hasan Mwinyi akimsalimia Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mzee Ali Hassan Mwinyi alipowasili kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, leo, Jumapili Septemba 20, 2020.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Hussein Ali Hasani Mwinyi akimsalimia Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein alipowasili kwa ajili ya Mkutano wa Kampenzi za CCM uliofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, leo, Jumapili Septemba 20, 2020.Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Hussein Ali Hasani Mwinyi akiwasalimia wananchi alipowasili kwa ajili ya Mkutano wa Kampenzi za CCM uliofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, leo, Jumapili Septemba 20, 2020.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Hussein Ali Hasani Mwinyi akiwa amesimama na viongozi wa meza kuu wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein alipowasili kwa ajili ya Mkutano wa Kampenzi za CCM uliofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, leo, Jumapili Septemba 20, 2020.
Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi kwenye Mkutano huo. Wengine baadhi yao ni Waziri Kiongozi Mstaaf Shamsi Vuai Nahodha ( Wapili kushoto)
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Hussein Mwinyi akiwa meza Kuu wakati wa mkutano huo. Wengine Baadhi yao ni Mama Siti Mwinyi (Kushoto) na Makamu wa Pili wa Rais zanzibra Balozi Ali Seif Idi.
Wananchi wengi wao wakiwa katika sare za CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano huo
Baadhi ya maelfu ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo
Vijana wakionyesha furaha zao kwenye mkutano huo
Wasanii wakionyesha umahiri wa kucheza Sarakasi kuwatumbuiza wananchi na viongozi waliohudhuria mkutano huo
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akishauriana jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Mabodi wakati wa mkutano huo
Wanamuziki wa Bongofleva, wakichangamsha mkutano huo kwa kucheza muziki
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein akizungumza na kumuombea kura mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Hussein Mwinyi katika mkutano huo
Mgombea Urais wa zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Hussein Mwinyi akiomba kura kwa wananchi na kunadi sera za CCM katika mkutano huo. Picha: Ikulu
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇