Mwandishi wa habari, Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV Agnes Almasi (Pichani) amefariki dunia mchana huu.
Taarifa zimesema Agnes amefariki akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Amana baada ya kujisikia vibaya alipokuwa nyumbani kwake akijiaandaa kwenda kazini.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇