LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 3, 2020

KAMPENI ZA CCM UCHAGUZI MKUU 2020 ZASHIKA KASI, DK. MAGUFULI AUNGURUMA MJINI SHINYANGA, SAMIA CHALINZE, LEO

Mgombea Urais wa CCM Dk. John Magufuli akiomba kura katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Samia Suluhu Hassan akiomba kura za Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo wa Chalinze mkoa wa Pwani, leo. Chini ni wananchi wakimsikiliz

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages