LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 3, 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM DK. MAGUFULI AJIMWAGA STEJINI NA CHEGE CHIGUNDA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI SHINYANGA, LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiserebuka na msanii wa Bongo Fleva Chegge Chigunda wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga leo Alhamisi Septemba 3, 2020

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages