LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 14, 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DK. MAGUFULI AFURAHIA MKUTANO WAKE CHATO, AAGA KWA TABASAMU NA BASHASHA BAADA YA KUHUTUBIA

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejawa furaha na bashasha akiondoka katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally na Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaanga wananchi kwa furaha katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaanga wananchi kwa furaha katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaanga baadhi ya viongozi wa dini kwa furaha katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaanga baadhi ya viongozi wa dini kwa furaha katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea  kuaga kwa furaha katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020
Wasanii wa TMK Wanaume wakitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita uliohudhuriwa na  maelfu kwa maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020
Wasanii wa TMK Wanaume Mheshimiwa Temba (kushoto) na KR  wakiwa na Nyumndo na Jembe ambazo ni alama kuu za CCM wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita uliohudhuriwa na  maelfu kwa maelfu ya wananchi
kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020
Umati wa wananchi kwenye mkutano huo wa mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Mazaina mjini Chato mkoa wa Geita uliohudhuriwa na  maelfu kwa maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Septemba 14, 2020

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages