LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 21, 2020

CCM SASA KUTUMIA CHOPA KUKOLEZA KAMPENI ZAKE NGWE ZA LALASALAMA



Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeonesha Chopa ambayo kimepanga kuitumia kwenye Round nyingine ya muendelezo wa kampeni zake ikiwa ni siku kadhaa tu Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally kusema “Tutakuwa na mizunguko sita ya kampeni, tumemaliza round ya kwanza sasa tunaingia round ya pili ambayo itakuwa nzito kuliko ya kwanza, tukifika round ya sita tutafahamiana zaidi“

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages