LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 26, 2020

MULUGO WA CCM 'APITA BILA KUPINGWA' JIMBO LA SONGWE

Mgombea ubunge Jimbo la Songwe, kupitia Chama Cha Mapinduzi, Philipo Mulugo amepita bila kupingwa baada ya wapinzani wake wa CHADEMA na  ACT-WAZALENDO kuenguliwa kwa kutokidhi vigezo vya uchaguzi. Mulugo alikuwa mbunge kipindi kilichopita.

Hata hivyo anasubiri kuthibishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), endapo hatawekewa pingamizi lolote. Muda wa pingamizi ulikuwa mwisho Jumatano Agosti 26 saa 10 jioni.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages