LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 26, 2020

MASARE ATANGAZWA RASMI NA NEC KUWA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI

Mgombea ubunge  Jimbo la Manyoni Magharibi, Yahaya Masare akiwa na fomu aliyokabidhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi kumteua rasmi kuwa mgombea wa jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu ambao kampeni zake zinaanza leo na kumalizika Oktoba 27. Uchaguzi Mkuu utakuwa Oktoba 28, mwaka huu. Aliopiga picha nao ni wanaCCM waliomsindikiza kurejesha fomu.


Masare akisoma maelezo yaliyomo kwenye fomu
 Masare akisaini kwenye kitabu

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages