LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 26, 2020

GULAMALI APITISHWA NA TUME YA TAIFA UCHAGUZI KUWA MGOMBEA UBUNGE MANONGA



 Mgombea ubunge mteule wa Jimbo la Manonga, Igunga mkoani  Tabora, Seif  Khamis Gulamali akitia saini wakati anarejesha fomu kwa Msimamizi wa Uchaguzi na kutangazwa kuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia CCM. Alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo katika kipindi kilichopita.
Gulamali akionesha dole gumba ikiwa ni furaha baada ya NEC kumteua rasmi kuwa mgombea.


Mgombea ubunge Jimbo la Manonga, Seif Khamis Gulamali (kushoto), akiwa na Mgombea ubunge jimbo la Igunga, Nicholaus Ngassa baada ya krejesha fomu na kuteuliwa kuwa wagombea.

3 comments:

  1. MIMI NI MWANA CCM.NAJIVUNIA CHAMA CHETU CHA CCM.NINAUNGA MKONO MAELEKEZO YOTE YA CCM.KWA MOYO WANGU WOTE.

    ReplyDelete
  2. Kila la Heri Mh SEIF KHAMIS GULAMALI.SASA TUANZE KAZI HADI USHINDI

    ReplyDelete
  3. MIMI NI MWANA CCM.NAJIVUNIA CHAMA CHETU CHA CCM.NINAUNGA MKONO MAELEKEZO YOTE YA CCM.KWA MOYO WANGU WOTE.

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages