LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 26, 2020

WAGOMBEA UBUNGE 20 WA CCM 'WAPITA BILA KUPINGWA'

 


.............................................

Wagombea wa CCM wanaodaiwa kupita bila kupingwa ni;

1. Ruangwa, Lindi – Kassim Majaliwa
2. Kilosa, Morogoro – Prof. Palamagamba Kabudi
3. Gairo, Morogoro – Ahmed Shabiby
4. Mvomero, Morogoro – Jonas Van Zeland
5. Morogoro Kusini -Innocent Kalogeris
6. Morogoro Mjini – Abdulazizi Abood
7. Misungwi, Mwanza – Alexander Mnyeti
8. Ushetu, Simiyu – Elias Kwandikwa.
9. Mtama, Lindi – Nape Nnauye.
10. Kwimba, Mwanza – Shanif Mansoor.
11. Vwawa, Songwe  – Japhet Hasunga.
12. Morogoro Kusini Mashariki – Hamisi Taletale.
13. Ludewa, Njombe – Joseph Kamonga
14. Kongwa, Dodoma – Job Ndugai
15. Namtumbo, Ruvuma – Vita Kawawa
16. Kavuu, Katavi – Geofrey Mizengo Pinda
17. Chamwino, Dodoma – Deo Ndejembi
18. Kondoa Vijijini


, Dodoma – Dkt Ashatu Kijaji
19. Mpwapwa, Dodoma – George Malima
20. Dodoma Mjini – Anthony Mavunde

Hata hivyo wanasubiri uthibisho kamili kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), endapo hakutakuwa na pingamizi lolote dhidi yao. Muda wa pingamizi umemalizika leo Jumatano saa 10 jioni.

1 comment:

  1. Ccm wanajua kuwa bila ya njama ktk uchaguzi hamwawezi kupata hata ushindi wa mwenyekiti wa kitongoji ndio maana wanafanya figisu figisu hizi ili wachukue dhulma mapema Kisha waseme eti wamepita bila kupingwa Hali ya kuwa mpaka maiti makaburini hawaiungi mkono ccm kutokana na dhulma zao zilizopindukia mipaka lakini ujinga wao wafanye huko huko kwa wapiga viroba na wasio just walifanyalo na walitakalo mbele,visiwani wakileta ujinga wao kitanuka mapema kabla just halijatoka

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages