Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha
Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Dodoma wakati wa uzinduzi wa Kampeni
za CCM kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani katika uwanja wa Jamhuri jijini
Dodoma. (PICHA NA IKULU)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Naseeb kwa jina la
Diamond Platnumz akifanya vitu vyake wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha
Mapinduzi (CCM), kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma. Mgeni rasmi katika
uzinduzi huo alikuwa Mgombea wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Msanii Ali Kiba akitumbuiza wakati wa uzinduzi huo.
Sehemu ya umati wa watu aliohudhuria uzinduzi huo
Dokii akipagawisha
Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan akiingia uwanjani
Sinura akionesha mambo yake
Tanzania One Theatre wana TOT wakiimba nyimbo za hamasa
Mke wa Rais, John Magufuli, Mama Janeth akiingia uwanjani
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli akiingia uwanjani
Dk Magufuli pamoja na viongozi wengine wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa kampeni.
TOT wakiimba wimbo wa Taifa baada ya Dk. Magufuli na viongozi wengine kuingia uwanjani kuzindua kampeni
Viongozi wa dini wakiliombea Taifa
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ali akielezea Ilani ya CCM ya 2020-2025
Dk. Magufuli akiwa na marais wastaafu Dk. Jakaya Kikwete (wa pili kushoto), Ali Hassan Mwinyi (katikati), Makamu Mwenyekiti na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein pamoja na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Hussein Ali Mwinyi. (kUSHOTO)
Ni furaha kwa kwenda mbele
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇