Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki |
Washiriki wa Kikao cha Kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara, wakifuatilia kwa makini Hotuba ya Ufunguzi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki (Hayumo pichani) kwenye ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS) Kituo cha Mbegu Morogoro.
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Kikao cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika jana katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro.
Washiriki wa Kikao cha Kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara, wakifuatilia kwa makini Hotuba ya Ufunguzi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki (Hayumo pichani) kwenye ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS) Kituo cha Mbegu Morogoro.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇