Tuzo ya kwanza ilikuwa ni ya kiungo bora baada ya kuwashinda, Lukas Kikoti wa Namungo na Mapinduzi Balama wa Yanga.
Ameibuka kuwa mchezaji bora kwa msimu wa 2019/20 akiwashinda Nicolas Wadada wa Azam FC ambaye mkononi ana tuzo ya beki bora wa msimu wa 2019/20 na beki wa Coastal Union Bakari Mwamnyeto wote wamo kwenye kikosi bora cha msimu wa 2019/20
Chama ni namba moja kwa pasi za mWisho ndani ya Simba akiwa ametoa jumla ya pasi 10 za mabao huku akifunga mabao 2 na kumfanya ahusike kwenye jumla ya mabao 12 kati ya 78 yaliyofungwa na Simba.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇