LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 10, 2020

VIJANA 52 WA CHADEMA WATIMKIA CCCM IKUNGI

 Vijana zaidi ya 52 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka wilayani Ikungi wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya kuchoshwa na tabia za chama hicho za kuwalazimisha kuwakataa hata wazazi wao kisa wako CCM.
 Viongozi wakiwa katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages