Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama
Janeth Magufuli wakiwa pamoja na viongozi wengine wa Kitaifa wakishiriki
Misa ya Dominika ya 17 ya Mwaka ‘A’ wa Kanisa Katoliki pamoja na
Kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa
katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya
Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa akiwasili
katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Misa ya
Dominika ya 17 ya Mwaka ‘A’ wa Kanisa Katoliki pamoja na Kumuaga Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa.
Gari la Jeshi la Wananchi wa
Tanzania JWTZ likiwa limebeba Jeneza lenye mwili wa Rais Mstaafu wa
Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa wakati likiwasili katika
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Makanali wa JWTZ wakiwa wamebeba
jeneza lenye mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin
William Mkapa wakati wakiingia katika sehemu ya Ibada katika Misa ya
Dominika ya 17 ya Mwaka ‘A’ wa Kanisa Katoliki pamoja na Kumuaga Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika Uwanja
wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya
Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa akiwa pamoja
na familia yake katika Misa hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru
Jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akiwa katika Misa hiyo ya Dominika ya 17 ya Mwaka ‘A’ wa Kanisa Katoliki
pamoja na Kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin
William Mkapa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇