Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara. |
Add caption |
Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa akiweka udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara. |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa pamoja na Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu
Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa wakati wakielekea kuweka Udongo
kwenye Kaburi la Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William
Mkapa Kijijini Lupaso Masasi mkoani Mtwara
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇