LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2020

MWILI WA RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA KUAGWA UWANJA WA TAIFA DAR

     Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa msibani, amesema Mwili wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa, utaagwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es salaam.

Siku itatangazwa baada ya taratibu zote kukamilika.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages