LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2020

JAJI WARIOBA: ALINIAMBIA NIGOMBEE MIMI MWAKA 1995 NIKAMWAMBIA AGOMBEE YEYE

 “Mwaka 1995 Rais Mkapa alikuwa ananiambia mimi nigombee na mimi nikawa namwambia hapana wewe ugombee. Kila mmoja akagombea kila mmoja na mtandao wake, lakini tukasema tutashirikiana. Wakati wa kutafuta wadhamini mtandao wake na wangu ukashirikiana” -Jaji WARIOBA.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages