LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 9, 2020

BENDERA ZAPAMBWA KILA KONA YA JIJI LA DODOMA, MKUTANO MKUU WA CCM

Bendera zikiwa zimepambwa  katika Barabara ya Nyerere, jijini Dodoma ikiwa ni maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  wa kupitisha majina ya wagombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar. Mkutano huo utafanyika  Julai 11-12, 2020 na kutanguliwa na  kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA-CCM BLOG
 Mkazi wa Dodoma akiangalia bango lenye picha ya Mwenyekiti wa CCM,  ambaye anatarajiwa kupitishwa na Mkutano Mkuu kuwa Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho. Bango hilo lipo karibu na Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete patakapofanyika mkutano huo.
 Makao Makuu ya CCM Dodoma yakiwa yamepambwa kwa bendera za chama hicho.
 Bendera za CCM zikipepea katika Barabara ya Nyerere na kulipamba Jiji la Dodoma


 Mtaa wa Jamatin
 Mzunguko wa makutano ya Barabara ya Nyerere, Jamatini na Mtaa wa Hospitali
 Hali ilivyo katika barabara ya kuelekea Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete



 Nje ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete patakapofanyika mkutano Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages