LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 12, 2020

UCHUKUAJI FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI KWA TIKETI YA CCM KUANZA JUMATATU IJAYO

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akizungumza leo.

CCM Blog, Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepuliza rasmi kipyenga cha mchakato wa kuwapata watakaobeba bendera ya Chama katika kugombea Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Kulingana na ratiba iliyotolewa leo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole mchakato wa kuwapata wanaoomba kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar utaanza siku tatu kuanzia leo. Kuona Ratiba yote kikamilifu, tafadhali>> BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages