LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 12, 2020

NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWIA MIKONO KUJIKINGA NA CORONA MKOANI SINGIDA

Meneja wa NMB Kanda KatiNsolo Mlozi (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa NMB Tawi wa Singida - Willy Mponzi (kushoto), wakimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida, DkRehema Nchimbi (kulia) msaada wa vifaa vya kunawa mikono ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya corona, kwa ajili ya kugawa kwenye taasisi mkoani hapo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages