LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 28, 2020

TUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA URAIS 2015: KAMPENI ZA URAIS ZA DK MAGUFULI ZATIA FORA MUSOMA, WABADHILIFU WA MALI ZA UMMA KUTIMULIWA KAZI


 Septemba 11, 2015: Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, akijinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Mukendo, mjini Musoma, Mara . ambapo aliahidi mambo mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara za lami mjini humo.

Dk Magufuli amesema watumishi wa Umma wabadhilifu wa mali za umma kutimuliwa kazi badala ya tabia iliyojengeka ya kuwahamisha vituo vya kazi. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, akijinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Mukendo, mjini Musoma, Mara . ambapo aliahidi mambo mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara za lami mjini humo.

 Dk Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni katika Mji wa Nyamongo, wilayani Tarime
 Dk Magufuli akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Tarime Vijijini, Christopher Kangoye katika Mji wa Nyamongo
 Wananchi wakimshangilia D katika Mji wa Nyamongok Magufuli na kukubali kumpigia kura
 Wanachi wakimlaki Dk Magufuli  katika Kijiji cha Nyamwage, wilayani Nyamongo
 Dk Magufuli akilakiwa kwa mabango yanayoelezea matatizo mbalimbali ambayo hata hivyo aliahidi kuyatatua wakimchagua kuwa rais
 Wananchi wakishangiliwa baada ya Dk Magufuli kuahidi kuwatatulia matatizo katika Kijiji cha Nyamwage, wilayani Tarime
 Mfuasi wa Chadema akishangilia na kukubali kumpigia kura Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli,katika uchaguzi mkuu ujao, wakati mgombea huyo alipozuiwa na wananchi katika Kijiji cha Nyamwage, wilayani Tairime, Mara, akitokea kufanya kampeni Kata ya Nyamongo akienda Tarime mjini
 Ni furaha iliyoje kwa kijana huyu baada ya kumuona Dk Magufuli
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, akijinadi katika mkutano wa kampeni Mjini Tarime, Mara. ambapo aliahidi mambo mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara za lami mjini humo ambapo pia aliwataka kudumisha amani
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, akimvisha kofia Kaka wa marehemu Chacha Wangwe (Chadema), Peter Wangwe ambaye alitangaza kukihama cha cha NCCR - Mageuzi na kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni Mjini Tarime, Mara Peter alikuwa mgombea unge kupitia chama hicho 2010
 .Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli,akifurahi kukutana na aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari  Sengerema  wakati yeye alipokuwa akifundisha shuleni hapo, Lucas Marwa, katika mkutano wa kampeni Mjini Tarime, Mara
 Dk Magufuli akiwaaga wananchi mjini Tarime
 Wananchi wakishangilia baada ya kuuona msafara wa Dk Magufuli ukiingia katika Mji wa Utegi wilayani Rorya
 Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akijinadi katika Mji wa Utegi wilayani Rorya
 Mgombea ubunge Jimbo la Rorya,Lameck Airo akionesha Ilani ya Uchaguzi baada ya kukabidhiwa na Dk Magufuli

 Wananchi  wa Musoma Vijijini wakimuomba Dk Magufuli kwamba akichaguliwa kuwa rais awatatulie tatizo la maji
 Bango lenye picha za Dk Magufuli na Profesa Soepeter Muhongo lililowekwa Musoma Vijijini jimbo ambalo anagombea Muhongo
 Bendi ya TOT ikitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni mjini Musoma  wakati wa mkutano wa kampeni
 Sehemu ya umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni za Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Mukendo, Musoma Mjini
 Moja ya mabango yenye ujumbe mbalimbali yaliyokuwepo kwenye kampeni hizo

 Wasanii wakitumbuiza  katika mkutano wa kampeni za CCM Mjini Tarime, Mara
 Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba akizungumzia wasifu mzuri wa Dk Magufuli ambapo alisema kuwa anafaa kuwa rais kuliko
 Wasanii wakiongozwa na Dokii wakitumbuiza katika mkutano huo
 Mgombea ubunge Jimbo la Musoma Mjini David Mathayo akijinadi kwa wananchi
 Wananchi wakikubali kumpigia kura Dk Magufuli na Mathayo

 Dk Magufuli akipiga tumba ya Bendi ya TOT BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO
 Mbasha akitumbuiza katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye Uwanja wa Mukendo, Musoma Mjini
Msanii wa Kikundi cha uigizaji cha Futuro akitumbuiza katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye Uwanja wa Mukendo, Musoma Mjini jana.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages