LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 28, 2020

NAIBU SPIKA BLW, MGENI HASSAN JUMA AJITOSA URAIS ZANZIBAR

 NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi, Ndg. Mgeni Hassan Juma Jumbe Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi na kuifanya  idadi ya  wagombea 31 ambao waliochukua fomu za kuwania kugombea Urais wa Zanzibar



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages