LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 28, 2020

BINTI WA KHADIJA KOPA ZURHA KOPA ANOGESHA UZINDUZI WA MRADI MKUBWA WA MAJI KISARAWE, LEO


Mwanamuziki anayekuja juu kwa kasi Zuhra Kopa maarufu kama ZUCHU akitumbuiza kwa mara ya kwanza mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za uzinduzi wa mradi mkubwa wa Maji wa Kibamba-Kisarawe mjini Kisarawe mkoa wa Pwani leo Jumapilio Juni 28, 2018. Zuchu anayetamba na kibao chake cha hamasa cha CCM ya MAGUFULI ni Binti wa Malkia wa Mipasho Bi. Khadija Omar Kopa
\

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages