Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Bakwata Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Hussein Afif .
Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumalizika uchaguzi wa kumtafuta Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Bakwata Mkoa wa wa Dar es salaam ukiongozwa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum ( wa tatu kulia waliokaa). Kushoto kwake ni Sheikh Hamis Nataka Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Bakwata. Kulia ni Sheikh Hussein Afif Mwenyekiti mpya wa Halmashauri Mkoa wa Dar es Salaam Bakwata. Uchaguzi huo ilifanyika katika Msikiti wa Mtoto jijini Dar es Salaam. PICHA NA ASHRACK MIRAJI
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇