Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje,
Bungeni jijini Dodoma, Aprili 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa Shamsi Vuai Nahodha,
Bungeni jijini Dodoma, Aprili 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu akiwasilisha Bungeni
Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2020/2021. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇