LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 8, 2020

SPIKA JOB NDUGAI ASHIRIKI MKUTANO WA MASPIKA NA VIONGOZI WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA JIJINI OTTAWA NCHINI CANADA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Maspika wenzake katika Mkutano wa Maspika na Viongozi wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola uliofanyika leo katika Bunge la Canada Jijini Ottawa. Kuanzia kulia ni Spika wa Bunge la Ghana, Mhe. Michael Oquaye, Spika wa Bunge la Uganda, Mhe. Rebecca Kadaga, Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Justin Muturi, Spika wa Kisiwa cha Man, Mhe. Juan Peterson na Spika wa Bunge la Pili la Kisiwa cha Man, Mhe. Steve Rodan
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages